30 Day Next Steps - Swahili Language

For use with Swahili Contacts (A common east African language - Tanzania, Kenya, etc.)

Siku 11: Kupenda Wengine
Je, ni kweli kuwa unaweza kuwa na upendo kwa wengine?   Amri ya pili iliyo kuu ya Mungu ni, 'Mpende jirani yako kama nafsi yako' - Mathayo 22 39. ...
Thu, 19 Jan, 2023 at 1:17 PM
Siku 12 Kujipenda
Je, nitajipenda aje?   Hapa ni 'mshangao' kutokana na somo la jana: kiini cha kupenda wengine ni kwa kupenda -kuwa tayari-mwenyewe! 'Mpende ji...
Thu, 19 Jan, 2023 at 1:17 PM
Siku 13: Kuachana na Ya Kale
Nitaushughulikia aje nyakati ngumu na majaribu?   Je, kuwa mfuasi wa Kristo humaanisha huta pata shida? Hapana hautapelekwa kimiujiza mahali ambapo hautap...
Thu, 19 Jan, 2023 at 1:16 PM
Siku 14: Kumpinga shetani
Je, mimi mpinga aje shetani?    Siku moja hoja moto ilizuka kati ya mameneja wawili katika kampuni yetu. Kulichosababisha pingo hilo? Sikuwa na fununu!  ...
Thu, 19 Jan, 2023 at 1:15 PM
Siku 15: Kudumu: Moyo wa Maisha ya Kikristo
Je, mimi nitakaa aje karibu na Yesu?   Kama ninaweza kuonyesha hamu yangu namba moja ile ningependa mchukue kutoka kwa somi hili, itakuwa hili kua na mais...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:09 AM
Siku 16: kufurahia Bwana
Je, kuna lengo muhimu kwa maisha?   'Bwana Mungu wenyu aliye kati yenu, Mwenye nguvu, ataokoa; Yeye atawafurahia kwa furaha, Atawapa utulivu kwa upend...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:08 AM
Siku ya 17: Ukweli: Kifunguu cha Uhuru
Kwa nini ukweli ni jambo?   Fikiria kuwa unazungumza na Mtume Paulo kama mnakunya kahawa. Unamuuliza, 'Paulo ni nini kinachokufanya wewe kujaribu kufi...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:07 AM
Siku 18: Wafanyakazi pamoja naye
Ni kazi gani ambayo Mungu anataka mimi nifanye?   Je, unafikiri Mungu yu hai, anafanya kazi na kushiriki? Inashangaza, 'miungu' katika karibu kila...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:06 AM
Siku 19: kukusanyika pamoja
Ni nani ambaye Mungu amenihusisha naye?   Karibu na kulea uhusiano wa karibu na Bwana, fanya kipaumbele cha kujiunga na waumini wengine.   Vikundi vya w...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:04 AM
Siku 20: Ibada
Kwa nini ni muhimu  nimsifu na kumwabudu Yesu?   Wakati waumini wanamtukuza Yesu kwaa kuimba, je, ni kwa sababu Mungu, Mfalme wa ulimwengu, anahitaji ibad...
Mon, 9 Jan, 2023 at 9:03 AM